#COVID19 Indonesia: Sekta ya Afya yalemewa na ongezeko la wagonjwa wa COVID-19

#COVID19 Indonesia: Sekta ya Afya yalemewa na ongezeko la wagonjwa wa COVID-19

beth

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
3,880
Reaction score
6,368
Hospitali katika Kisiwa cha Java Nchini humo zinakabiliwa na uhaba wa Oksijeni, Dawa, Vitanda na Wafanyakazi wakati huu ambapo ongezeko la maambukizi ya COVID19 limepelekea Sekta ya Afya kulemewa.

Imeripotiwa kuwa, Hospitali kadhaa zimelazimika kufunga huduma za dharura kutokana na kukosa Okisijeni na nyingine zimefanya hivyo kwasababu Watumishi wengi wanaugua.

Indonesia ambayo ni miongoni mwa Nchi zinazokabiliwa na hali mbaya ya mlipuko huo Barani Asia ilirekodi visa vipya 34,379 na vifo 1,040 siku ya Jumatano.
===

Hospitals across the Indonesian island of Java are running out of oxygen, medicines, beds and even staff as a sharp rise in Covid cases pushes the country’s health system to the brink.

Indonesia, which is facing one of the worst outbreaks in Asia, announced 34,379 new cases and 1,040 fatalities on Wednesday, both record highs.

Senior minister Luhut Pandjaitan said earlier this week he feared daily cases could reach as high as 70,000. The government said it was sourcing supplies of oxygen from Singapore to ease shortages.

“At worst, it [could reach] 60,000 to 70,000 cases per day, but I hope that doesn’t happen because our friends from police, military have done quite a good insulation,” Luhut said.

Hospitals across Java are already at a crisis point. Several have been forced to temporarily close their emergency rooms either because their oxygen stock is depleted, or because many of their staff have become ill, according to Indonesian media reports.

“It’s like a market outside the hospital … Even if you add 100 more beds it will not be enough. Patients are still going to flock to our hospital,” Syaiful Hidayat, the head of Covid-19 task force at Dr Slamet Martodirdjo regional hospital in Pamekasan, East Java, said on Tuesday.

The hospital is the largest in Pamekasan and is currently treating more than 100 Covid patients. The front yard has been converted into an emergency room, while the inside of the building is being used to isolate patients.

Although the hospital is fortunate that it can produce its own supply of liquid oxygen on site, additional oxygen tanks are still needed to support patients staying in tents.

The hospital is also facing staffing shortages after 10 of its doctors tested positive for Covid-19 this week. Emergency rooms that are usually taken care of by three doctors are now staffed by just one. On top of this, its supplies of remdesivir, the antiviral medicine, have run out.

“We usually use these injections for patients who are in critical condition,” said Syaiful, adding that they had been without the drug for 10 days.

Most people that have come to the hospital over the past two weeks arrived with very low oxygen saturation. “In these past two weeks 50 people died of Covid in this hospital. Most of them died before they had spent 24 hours being treated here,” he said.

Source: The Guardian
 
Kwa hiyo hali ni nzuri? Chukua tahadhari JILINDE.

Halafu mtu anakwambia bongo hali mbaya.
 
Kwa hiyo hali ni nzuri? Chukua tahadhari JILINDE.

Hali nzuri ndio maana hata juzi kati tumetoka kuangalia mechi ya simba na yanga na Rais wetu, hali ingekuwa mbaya serikali ingezuia.
 
Narudia tena acha ubishi wa kijinga, chukua tahadhari zote. Kaburi unalijua.
Mkuu kifo hakiepukiki ila corona wanaoumwa na kupona ni wengi kuliko wanaofariki, kama wanaokufa ni wale wasiochukua tahadhari tu basi tungekuwa tushaisha.

Watu hata matumizi sahihi tu ya barakoa hawajui au wanapuuza halafu hao ndio wanahesabika wenye kuchukua tahadhari, yani hali ingekuwa mbaya wote tungekuwa tunaongea lugha moja hapa ila sio sasa et huku wanadai kuongezewa mitungi ya oksijeni na huku watu watu Sabasaba kama kawaida.
 
Wapi nilipoandika kifo kinaepukika? 😳😳😳
Unadhani kwanini tuna hospital na madawa pamoja na kuwa tunajua hatuwezi kukiepuka kifo!?
Chukua tahadhari acha longo longo zako.

Nimekwambia kama wasiochukua tahadhari tu ndio wanafariki basi tungekuwa tushaisha.
 
Mwenyezi Mungu atunusuru hivi unadhani kwanini Samia ametaka Watanzania wachukue tahadhari!? Unataka vifo hadi vifike zaidi ya laki nne kwa siku kama ilivyokuwa India miezi michache iliyopita ndiyo utatia akili kichwani!? 😳😳😳

Wewe unajuaje kama havijafika hiyo laki nne si mnasema hatuna takwimu? Kwanini unafikiri vifo havijafika hiyo laki nne hasa ukizingatia tumeacha kuchukua tahadhari toka mwaka jana?

Nimekwambia kama Mama Samia angeona hali mbaya mpaka sasa kuna vitu vingekuwa vimezuiliwa ili hiyo hali mbaya isiwe mbaya zaidi lakini ndio kwanza tunaona Rais anaenda kuangalia mechi ya simba na yanga, halafu ndio tuseme hiyo kauli yake ya kutuambia tuchukue tahadhari ina maana ya kuwa hali mbaya?
 
Unadhani huyo samia yuko sawa? Anatoa tahadhari watu waepuke misongamano halafu yeye ndiye yuko mstari wa mbele kucreate misongamano!!! Tia akili kichwani acha KUKURUPUKA.

Samia inajulikana kabisa lengo lake ni lipi au anachotaka ni kipi.
 
Chanzo kikubwa cha maambukizi nchini na ushahidi huu hapa.
ABFF866E-6BA3-4F76-B6EC-8E07631EE44C.jpeg

Samia inajulikana kabisa lengo lake ni lipi au anachotaka ni kipi.
 
Ni kutokana na shinikizo la IMF ili watoe Mkopo wa $574 millions. Sharti la kupata mkopo ni kutoa takwimu kila siku za wagonjwa wapya wa Covid-19 na idadi ya waliokufa, lakini kwa takwimu hizi nusu nusu sidhani kama janja janja yao huo mkopo utatolewa na IMF.

Na takwimu za corona tunaambiwa sasa hivi.
 
Back
Top Bottom