Indonesia vs Tanzania | Friendlies | June 2, 2024 | GBK Madya Stadium (Indonesia) | 12:00 PM EAT

Mad Max

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2010
Posts
26,961
Reaction score
77,890
Majira ya saa 6 za mchana (sawa na saa 10 jioni Indonesia), vijana wa Taifa Stars watamenyana na timu ya Taifa ya Indonesia katika mechi ya kirafiki.



Uwanja ni ule ule GBK Madya Stadium (Gelora Bung Karno Madya Stadium) uliopo Jakarta, wenye capacity ya watu elfu 9 tu, ambao ulifunguliwa December 1961 wakati sisi tunaachana na Mkoloni.

Ikumbukwe, Tanzania tupo nafasi ya 119 katika rank ya FIFA, wakati Indonesia wapo nafasi ya 134.

Matokeo ya mechi 5 zilizopita katika izo team mbili haya hapa:



Kila lakheri Taifa Stars.

Naamini Azam wataonesha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…