Indonesia vs Tanzania | Friendlies | June 2, 2024 | GBK Madya Stadium (Indonesia) | 12:00 PM EAT

Tanzania tunashambuliiwa sana

Kwenye ranking ya FIFA Tansania ni ya 119 na Indonesia ni ya 134.





Viongozi wa TFF ni viazi ndio maana naendeleq kusema ninl wahuni waliojificha kwenye uongozi wa soka.
 
Nimetafuta channel zote hamna kitu

Acha kuwa mzembe, tumia hii link kuangalia mpira.


 
Wana washambuliaji wao wanacheza kama mchezaji wetu Freddy Vunja Bei!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…