#COVID19 Indonesia yaanza kulegeza kanuni za kudhibiti Corona baada ya maambukizi kupungua

#COVID19 Indonesia yaanza kulegeza kanuni za kudhibiti Corona baada ya maambukizi kupungua

beth

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
3,880
Reaction score
6,368
Kutokana na kupungua maambukizi ya CoronaVirus Taifa hilo litaanza kulegeza Kanuni kuanzia kesho Agosti 24 ambapo maeneo ya kufanya manunuzi na nyumba za ibada katika baadhi ya Miji zitaruhusiwa kufunguliwa.

Maeneo ya Ibada na Migahawa itatakiwa kufanya kazi kwa kiwango cha 25% na maeneo ya manunuzi kwa 50%. Rais Joko Widodo amesema maambukizi mapya yamepungua kwa 78%.
=====

Indonesia will from Tuesday start to allow the partial reopening of restaurants, shopping malls and places of worship in some areas, including in the capital Jakarta and the holiday island of Bali, President Joko Widodo said on Monday.

Places of worship and restaurants will be allowed to operate at 25% capacity while shopping malls will be allowed to operate at 50% capacity in those areas, the president said during a virtual press conference.

Since a peak of new infections of COVID-19 in Indonesia on July 15, new cases have fallen 78%, he added.

Source: Reuters
 
Kwani bongo huwa tunapunguza vp? maambukizi maana huwa nasikia tu maambukizi yamepanda mara yamepungua.
 
Back
Top Bottom