Industrial area in Dodoma

Industrial area in Dodoma

mama dunia

JF-Expert Member
Joined
Dec 22, 2011
Posts
420
Reaction score
84
Hi wadau,

Eneo gani ndani ya Dodoma ni special kwaajili ya viwanda? Na kwa anaejua hayo maeneo bei zao zikoje, na je tayari palishajaa hadi sasa kama unataka kuanzisha kiwanda hadi ukodi magodown ya watu au bado pako waziwazi mtu anaweza kupata eneo hata kama ni eneo dogo tu?

Mwabeja sana
 
hi wadau, wazima?

Eneo gani ndani ya dodoma ni special kwaajili ya viwanda?

Na kwa anaejua hayo maeneo bei zao zikoje, na je tayari palishajaa hadi sasa kama unataka kuanzisha kiwanda hadi ukodi magodown ya watu au bado pako waziwazi mtu anaweza kupata eneo hata kama ni eneo dogo tu?

Mwabeja sana
nijuavyo mimi eneo la viwanda ni kizota,singida road ukitokea dodoma upande wa kushoto.sasa kama bado kuna nafasi au hapana sijui.karibu dodoma ututengenezee ajira.
 
Back
Top Bottom