hi wadau, wazima?
Eneo gani ndani ya dodoma ni special kwaajili ya viwanda?
Na kwa anaejua hayo maeneo bei zao zikoje, na je tayari palishajaa hadi sasa kama unataka kuanzisha kiwanda hadi ukodi magodown ya watu au bado pako waziwazi mtu anaweza kupata eneo hata kama ni eneo dogo tu?
Mwabeja sana