Habari za muda huu.
Naomba mnisaidie na uwasaidie na wengine pia juu ya sehemu nzuri zaidi ya kufanya industrial practical training kwa kozi ya mechanical eng. Nitafurahi zaidi nikipata wale wote waliopita kwenye maeneo hayo husika na watusaidie changamoto za eneo husika.
hii ndio jf bhana! Unapost halafu unajikoment menyewe.
Nenda Mantrac, nenda TBL au Sigara.
Nenda tanesco.
Nenda Mantrac, nenda TBL au Sigara.
hii ndio jf bhana! Unapost halafu unajikoment menyewe.