INEC: Kuhusu upotoshaji wa kuunganishwa kwa mfumo wa uchaguzi na mifumo mingine

Nauliza tu matokeo kutoka majimboni kwenda tume yanapelekwa na gari au kwa njia ya mtandao !
Umemaliza wakujibu

Wanapeleka kwa Ungo wa kizungu(sever za INEC)

POLE POLE kajivua ushetani wa kusafiri na Ungo🤣🤣
 
Mamamake anyamaze huyu!
 
Polepole ni sawa na disgruntled spouse.
 
Kwa nini ccm walikuwa wakihakiki wanachama kwa kutumia kadi za nida)kupigia kura
Mliliacha hili bila kukemea and now the cat is out of the bag
 
Kukanusha maana yake nyie ni wahusika wakuu, hamjawahi kukubali jambo lolote hata pale mlipokosolewa..

Watu wanatekwa wanauwawa mlishawahi kukubali?
Hata hili suala la kuchezea mifumo ya uchaguzi lipo wazi fanyeni mabadiliko ya sheria za uchaguzi na kanuni zake muone kabla ya misa ya kwanza mnavyopelekwa nyumbani.
 
Hizo namba za NIDA ambazo baadhi ya watumishi wa umma walikuwa wanalazimishwa kuziwasilisha mahali ni za Nini?
 
Tunamuani pole pole 100%
 
Matokeo ya Urais 2020 mbona hatuyaoni kwenye website yao?
 
Ninachokikumbuka ni kuwa Cde Pole pole alitoa hadhari mapema kuwa atasema mambo ambayo hakutaka kusema ila kutokana na kutosikiliza ushauri
 
Unahisi mwizi anaweza kujikamata mwenyewe KAMBALE NDIO TUNAJUA MCHEZOHUOO
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…