PureView zeiss
JF-Expert Member
- Sep 5, 2016
- 14,521
- 46,663
kwani mkuu si tume huwa inafanya totalization ya kura zote zilizopigwa toka vituo mbalimbali?Tume yetu ya uchaguzi iko vizuri sana!
Ukichukua kura 31,900,000 zilizopigwa tarehe 29/10/2025
Ukazigawa kwa masaa48 (siku mbili za kuhesabiwa, Tarehe 30/10/2025 na 31/10/2025) Halafu ukazigawa kwa dakika60
31,900,000 ÷ 48 ÷ 60 = 11,076
Kwa dakika1 Tume ilihesabu kura 11,076.

😂😂😂ila CCM kiboko aiseeHivi unaamini kura zilihesabiwa kweli mi nahisi tume ilishaandaa matokeo miezi 6 kabla walikuwa nayo
acha ujinga wako wewe chawa waliopiga kura nchi nzima hawawezi zidi watu milion 5Nyie wajinga mtalishwa mavi ya mitandaoni mpaka lini?
Leo Mange anawalipisha kinyesi, kesho mkojo, keshokutwa DAMU ya hedhi.
Kila kituo kilikuwa na watu wa kuhesabu. Kwani zote zilihesabiwa na mwenyekiti wa INEC?
Mara oooh mtandao ulizimwa walitumaje matokeo. Serikali inaweza kukuzimia mdandao wewe huku mambo yake nyeti yakisonga bila kusita. Kama kwenye gari za doria tu wamegunga mitambo ya mawasiliano isiyotumia mkongo wa Taifa kwanini ushangae hili?
Na ndio maana mwezi mmoja kabla ya uchaguzi waliutangazia umma kuwa watatangaza matokeo ndani ya siku 3 yaani tarehe 31 Oktoba.Hivi unaamini kura zilihesabiwa kweli mi nahisi tume ilishaandaa matokeo miezi 6 kabla walikuwa nayo
Kwa dakika1 Tume ilihesabu kura 11,076😁😁😁😁Tume yetu ya uchaguzi iko vizuri sana!
Ukichukua kura 31,900,000 zilizopigwa tarehe 29/10/2025
Ukazigawa kwa masaa48 (siku mbili za kuhesabiwa, Tarehe 30/10/2025 na 31/10/2025) Halafu ukazigawa kwa dakika60
31,900,000 ÷ 48 ÷ 60 = 11,076
Kwa dakika1 Tume ilihesabu kura 11,076.
Hatari sana yaaani watu ni wahuni slowslow alikuwa sahihi kabisaNa ndio maana mwezi mmoja kabla ya uchaguzi waliutangazia umma kuwa watatangaza matokeo ndani ya siku 3 yaani tarehe 31 Oktoba.
Kwani nyie wafuasi wa bwana tobo mmechanganyikiwa nyie si mlisusia uchaguzi sasa mnawashwa nini si ndyo nyie nyie siku ya uchaguzi mlienda kwenye baadhi ya vituo kuleta vuruguTume yetu ya uchaguzi iko vizuri sana!
Ukichukua kura 31,900,000 zilizopigwa tarehe 29/10/2025
Ukazigawa kwa masaa48 (siku mbili za kuhesabiwa, Tarehe 30/10/2025 na 31/10/2025) Halafu ukazigawa kwa dakika60
31,900,000 ÷ 48 ÷ 60 = 11,076
Kwa dakika1 Tume ilihesabu kura 11,076.
Hawa watu wajinga sana .Hii nyumbu hapa inaona imejenga hoja concrete kweli yani, Ccm kweli ni majizi lakini jifunze kujenga hoja, kwahiyo uliambiwa kuwa huwa anahesabu mtu mmoja?
Ndo maana majizi ya Ccm yanawaua sana maana akili zenu huwa mnashikiwa na mtu mmoja hapa hii hoja mmeicopy kila mtu bila kuruhusu akili zenu kufikiria.
Ndo maana mkadanganywa jeshi liko upande wenu na nyie mkaingia mkenge.
Kuhesabu wala sio issue. Vituo vya kupigia kura vilikuwa 99,911. Kama kura zinahesabiwa kwenye vituo vya kupigia kura, kuhesabu kura 11,076 per minute is a piece of cake. Kazi ni majumuisho (consolidation) yanayopaswa kufanywa na INEC.Tume yetu ya uchaguzi iko vizuri sana!
Ukichukua kura 31,900,000 zilizopigwa tarehe 29/10/2025
Ukazigawa kwa masaa48 (siku mbili za kuhesabiwa, Tarehe 30/10/2025 na 31/10/2025) Halafu ukazigawa kwa dakika60
31,900,000 ÷ 48 ÷ 60 = 11,076
Kwa dakika1 Tume ilihesabu kura 11,076.
1995;Hii nyumbu hapa inaona imejenga hoja concrete kweli yani, Ccm kweli ni majizi lakini jifunze kujenga hoja, kwahiyo uliambiwa kuwa huwa anahesabu mtu mmoja?
Ndo maana majizi ya Ccm yanawaua sana maana akili zenu huwa mnashikiwa na mtu mmoja hapa hii hoja mmeicopy kila mtu bila kuruhusu akili zenu kufikiria.
Ndo maana mkadanganywa jeshi liko upande wenu na nyie mkaingia mkenge.
Tume yetu ya uchaguzi iko vizuri sana!