Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Mpina kaambiwa akae mbali na ofisi za tume.Mpina naye anakabidhiwa lini?
Inategemea na chama, CCM na Chauma hawalazimishwi kurudishaKwahiyo kampeni zikimalizika gari itarudi INEC..?
Hongera SanaTume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), imemkabidhi mgombea urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Samia Suluhu Hassan, gari aina ya Land Cruiser pamoja na dereva, kwa ajili ya kampeni na kwamba ataambatana nalo kuanzia leo, mpaka kampeni zitakapokwisha.