Walikaa miezi kadhaa kutafuta neno "HURU" likae wapi. Walipokosa wakaamua kuondoa neno TAIFA wakaweka HURUKwa vitendo, kwa muonekano, "Tume Huru" ya Taifa ya Uchaguzi, haiko huru na wala haisimamii uchaguzi kwa weledi unaotazamiwa.
Kesi hii ya Mahakama imewaumbua sana.
Heri wangeitwa tu Tume ya Serikali ya Uchaguzi.
Haya maigizo soma hapa yalivyoandaliwaHuu ndiyo Uchaguzi wa kuwadanganya Wazungu kwamba ni huru ili watupe Mikopo?
Waseme wazi kwamba hii Nchi ni ya Chama kimoja kuliko haya maigizo yao
Hii Nchi tuna safari ndefu sana, sijui miaka 50 ijayo hali ya Siasa itakuwaje kama tumeanza kunajisi Vyombo vya maamuzi kiasi hiki Kwa manufaa ya upande mmoja 🙌Walikaa miezi kadhaa kutafuta neno "HURU" likae wapi. Walipokosa wakaamua kuondoa neno TAIFA wakaweka HURU
Tuna hali mbaya sana kama Taifa 🙌Haya maigizo soma hapa yalivyoandaliwa
GE2025 - Mahakama, ACT na CCM wanaenda kujisafisha kitaifa na kimataifa
Kila mtu anajua shutuma zilizopo juu ya watajwa hapo juu.... Sasa wanaenda kujisafisha kupitia kesi ya Mpina vs Tume... INEC Ni hivi, Mpina anaenda kushinda Mahakama inatoa haki haitoi? ACT ni CCM B au inajitegemea?? Kesi dodoki NB: hizi sio tetesi wala sio za ndani..... Nimewaza nje ya box...www.jamiiforums.com
Ingeitwa Tume ya CCM ya Uchaguzi. Ni aibu tupu. Eti retired Judge wa Mahakama ya Rufaa ndiyo mwenyekiti wa hiyo tume… Bullshit!Kwa vitendo, kwa muonekano, "Tume Huru" ya Taifa ya Uchaguzi, haiko huru na wala haisimamii uchaguzi kwa weledi unaotazamiwa.
Kesi hii ya Mahakama imewaumbua sana.
Heri wangeitwa tu Tume ya Serikali ya Uchaguzi.
Tume huru 🤔🤔🚶🚶🚶🚶Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) imepanga kupokea fomu za uteuzi wa wagombea wa kiti cha Rais na Makamu wa Rais kupitia Chama cha ACT Wazalendo siku ya Jumamosi, Septemba 13, 2025, saa nne asubuhi, katika ofisi za tume jijini Dar es Salaam. Wagombea waliopendekezwa na chama hicho ni Luhaga Mpina na Fatma Fereji
Kwa mujibu wa taarifa iliyotumwa na Kaimu Mkurugenzi wa Uchaguzi, Juma Rahisi kwa Katibu Mkuu wa ACT Wazalendo, Ado Shaibu na ambayo Jambo TV imeithibitisha, wagombea wanatakiwa kuzingatia masharti ya Kanuni ya 20(4) ya Kanuni za Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani za mwaka 2025
Miongoni mwa masharti hayo ni kuwasilisha fomu zilizojazwa kikamilifu, picha nne za rangi zenye mandhari meupe, uthibitisho wa malipo ya dhamana ya Shilingi milioni moja, na fomu namba 10 ya tamko la kuheshimu na kutekeleza maadili ya uchaguzi
Tume imeelekeza kuwa kila mgombea ataruhusiwa kuambatana na watu wasiozidi kumi (10) pekee, bila shamrashamra au maandamano ndani au nje ya jengo la tume
Hatua hii inajiri siku moja baada ya Mahakama Kuu, Masjala Kuu Dodoma, kutoa uamuzi kwamba Mpina ana haki ya kuendelea na mchakato wa kurejesha fomu ya kugombea Urais wa Tanzania
Katika shauri Na. 21692/2025, Mahakama ilibainisha kuwa zuio lililowekwa na INEC Agosti 27, 2025, kwa kumzuia Mpina kurejesha fomu, lilikuwa kinyume cha sheria na Katiba
Uamuzi huo, uliotolewa Septemba 11, 2025 na Jaji Abdi Kagomba, ulieleza kuwa waleta maombi- Bodi ya Wadhamini wa ACT Wazalendo na Luhaga Mpina walikuwa na haki ya kupewa nafasi ya kurejesha fomu kwa wakati. Hata hivyo, ombi lao la kulipwa fidia ya Shilingi milioni 100 lilikataliwa
Chanzo: Jambo TV
Ole wake ingekua ni CDM ingekua ndo imeisha hiyooo!!!Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) imepanga kupokea fomu za uteuzi wa wagombea wa kiti cha Rais na Makamu wa Rais kupitia Chama cha ACT Wazalendo siku ya Jumamosi, Septemba 13, 2025, saa nne asubuhi, katika ofisi za tume jijini Dar es Salaam. Wagombea waliopendekezwa na chama hicho ni Luhaga Mpina na Fatma Fereji
Kwa mujibu wa taarifa iliyotumwa na Kaimu Mkurugenzi wa Uchaguzi, Juma Rahisi kwa Katibu Mkuu wa ACT Wazalendo, Ado Shaibu na ambayo Jambo TV imeithibitisha, wagombea wanatakiwa kuzingatia masharti ya Kanuni ya 20(4) ya Kanuni za Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani za mwaka 2025
Miongoni mwa masharti hayo ni kuwasilisha fomu zilizojazwa kikamilifu, picha nne za rangi zenye mandhari meupe, uthibitisho wa malipo ya dhamana ya Shilingi milioni moja, na fomu namba 10 ya tamko la kuheshimu na kutekeleza maadili ya uchaguzi
Tume imeelekeza kuwa kila mgombea ataruhusiwa kuambatana na watu wasiozidi kumi (10) pekee, bila shamrashamra au maandamano ndani au nje ya jengo la tume
Hatua hii inajiri siku moja baada ya Mahakama Kuu, Masjala Kuu Dodoma, kutoa uamuzi kwamba Mpina ana haki ya kuendelea na mchakato wa kurejesha fomu ya kugombea Urais wa Tanzania
Katika shauri Na. 21692/2025, Mahakama ilibainisha kuwa zuio lililowekwa na INEC Agosti 27, 2025, kwa kumzuia Mpina kurejesha fomu, lilikuwa kinyume cha sheria na Katiba
Uamuzi huo, uliotolewa Septemba 11, 2025 na Jaji Abdi Kagomba, ulieleza kuwa waleta maombi- Bodi ya Wadhamini wa ACT Wazalendo na Luhaga Mpina walikuwa na haki ya kupewa nafasi ya kurejesha fomu kwa wakati. Hata hivyo, ombi lao la kulipwa fidia ya Shilingi milioni 100 lilikataliwa
Chanzo: Jambo TV
Aibu sana kwa tume inayoongozwa na manguli wa sheria, majaji wastaafu. Sasa walizitolea wapi guts za kuwakataa kina Mpina na Fatma Fereji? Hii si tume huru abadaniTume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) imepanga kupokea fomu za uteuzi wa wagombea wa kiti cha Rais na Makamu wa Rais kupitia Chama cha ACT Wazalendo siku ya Jumamosi, Septemba 13, 2025, saa nne asubuhi, katika ofisi za tume jijini Dar es Salaam. Wagombea waliopendekezwa na chama hicho ni Luhaga Mpina na Fatma Fereji