Infact hakuna mwanaume mwaminifu

Ladies nawashauri chagueni wanaume wenye hela, [HASHTAG]#Infact[/HASHTAG] hakuna mwanaume MWAMINIFU

My dear ni afadhali kutoa machozi ndani ya BMW kuliko juu ya baiskeli
.....[emoji6] [emoji6] [emoji6] [emoji6] [emoji6] [emoji6] [emoji6] [emoji6]
Kwa mitazamo kama hii mtapigika sana, mkija shtuka arobaini is around the corner!
Wakati wenzako wanatafuta na kupata penzi la kweli wewe endelea kutumika kama kipoozeo kwa sababu ya mtazamo wako!!
 
Ladies nawashauri chagueni wanaume wenye hela, [HASHTAG]#Infact[/HASHTAG] hakuna mwanaume MWAMINIFU

My dear ni afadhali kutoa machozi ndani ya BMW kuliko juu ya baiskeli
.....[emoji6] [emoji6] [emoji6] [emoji6] [emoji6] [emoji6] [emoji6] [emoji6]
Acha kudanganya wenzio... kama ww hujawah kupata mwanaume mwenye true love.. kaoge na magadi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…