mweeehh!Ladies nawashauri chagueni wanaume wenye hela, [HASHTAG]#Infact[/HASHTAG] hakuna mwanaume MWAMINIFU
My dear ni afadhali kutoa machozi ndani ya BMW kuliko juu ya baiskeli
.....[emoji6] [emoji6] [emoji6] [emoji6] [emoji6] [emoji6] [emoji6] [emoji6]
... [HASHTAG]#Infact[/HASHTAG] hakuna mwanaume MWAMINIFU
....
Ladies nawashauri chagueni wanaume wenye hela, [HASHTAG]#Infact[/HASHTAG] hakuna mwanaume MWAMINIFU
My dear ni afadhali kutoa machozi ndani ya BMW kuliko juu ya baiskeli
.....[emoji6] [emoji6] [emoji6] [emoji6] [emoji6] [emoji6] [emoji6] [emoji6]
Nipe Nikupe MamaSiku nyingi niligundua hili..... kwa Kasie ni nipe nikupe.. .. vinginevyo itabaki hi and bye....
Kama huna BMW just a hi and bye..... halafu chozi langu hata hutoliona.... na hivi vioo vyote cya gari ni tinted hadi kile cha windscreen..... naliaga kwenye gari tuu na kabla ya kushuka.... najiweka sawa yuleee natabasamu
Sawa troublerapaAcha uuuwongooo mbona mimi ni mwaminifu.
Sema ndo sipati mwanamke mwaminifu.