Infantino kuiongoza FIFA kwa awamu ya pili

Miss Zomboko

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2014
Posts
4,599
Reaction score
9,532
Rais wa shirikisho la kandanda duniani FIFA Gianni Infantino anatarajiwa kutumikia kipindi cha pili cha uongozi baada ya kuwa mgombea pekee katika uchaguzi utakaofanyika mwezi Juni

Gianni Infantino ambaye ni raia wa Uswisi mwenye asili ya Italia alimrithi Joseph Blatter ambaye alishikilia nafasi hiyo kwa miaka 17 mwaka 2016
-----------------------

FIFA President Gianni Infantino is set to serve four more years as the leader of soccer's governing body as the only candidate for election.

Infantino had the required nomination letters from five of the 211 member federations when the deadline passed at midnight Tuesday in Zurich, FIFA said Wednesday.

Infantino must now pass the formality of eligibility and integrity checks for the election on June 5 in Paris.


Avertissement de redirection
 
Mzeee wa fitina!!!! Huyo ndo hatoki tena labda naye waje wamuundie zengwe la rushwa kama aliyepita!!! Uongozi wa soka na fitina ni Pete na kidole
 
Hii mibeberu bhwana ikifanya wao ni sawa wakifanya waafrika maneno nyingiii shnzx zao
 
Duuh jamaa aliingia kirahisi sana ,maana washindani wote walifungiwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…