ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
Namuombea nafasi katika serikali yangu apewe kazi maalumu ni kijana wa Aina yake anastahili tuzo hapa jf ya great thinker Bora anayechipukia kwa mwaka 2020.sambamba na Hilo napendekeza mamlaka zimtumie awe karibu na mkuu na kwa kuwa yeye fani yake ni dereva Basi yafaa atusaidie kumuendesha mheshimiwa.nasisitiza Sana msimuache Kuna kitu nimekiona ndani mwake sifa zote anazo apelekwe kozi