Infantry Soldier anafaa kuwa dereva wa Mheshimiwa Rais

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
21,643
Reaction score
51,642
Namuombea nafasi katika serikali yangu apewe kazi maalumu ni kijana wa Aina yake anastahili tuzo hapa jf ya great thinker Bora anayechipukia kwa mwaka 2020.sambamba na Hilo napendekeza mamlaka zimtumie awe karibu na mkuu na kwa kuwa yeye fani yake ni dereva Basi yafaa atusaidie kumuendesha mheshimiwa.nasisitiza Sana msimuache Kuna kitu nimekiona ndani mwake sifa zote anazo apelekwe kozi
 
"Ana sifa zote" then "apelekwe kozi"??? Halafu Mheshimiwa huyo wa kuendeshwa ni nani? Dr. Lyaitama, ama???
 
Kuwa na heshima mkuu !! Kuna uzi nilipitia nimeona kaandika ni mfanyakazi wa bank.

Sent from my SAMSUNG-SM-N910A using JamiiForums mobile app
Mmmh sijui Sasa mbona kama anakuja kuwa kivuruge maana Kuna uzi alitamka yeye Ni dereva wa uber.Jf si unaijua lakini sote Ni multipurpose kote tumo kwa hiyo sishangai
 
Huyu me nawazaga wampe u DC na vingine vinavyoendana na hiyo
 
Labda dereva wa rais wa FM ACADEMIA.
 
Mmmh sijui Sasa mbona kama anakuja kuwa kivuruge maana Kuna uzi alitamka yeye Ni dereva wa uber.Jf si unaijua lakini sote Ni multipurpose kote tumo kwa hiyo sishangai
Nilifanya kazi BANK mwaka mmoja kisha nikaacha mwaka 2013 nikaingia rasmi mtaani
 
Huyu ndugu yangu anaipenda sana nchi yake.

Kuna N.B ya kila uzi wake ile ya "Ipende nchi yako ....."
Mungu angetaka mimi na wewe tuzaliwe Marekani asingeshindwa, ila ameamua tuzaliwe Tanzania kwa maana ana makusudi mema na sisi juu ya nchi hii.
 
Bwana mdogo movies na mastories ya KGB sijui FSB yameshakuvuruga, Umejikomba komba sana kuandika nyuzi za intelligence with multiple IDs sasa umeona kama system haikuoni wala haina time na wewe mana uko too theoretically, nakushauri tafuta kazi ambayo itakuendeshea maisha yako sio kuwaza mambo ya usalama
 
????? 🚦🚦🚦
 
Boss unanishauri mimi au nani mwingine?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…