SOWETO_MAN
Member
- May 4, 2021
- 69
- 32
Habarini muda huu wana jukwaa.
Lengo na dhumuni la thread hii ni kuwajulisha wale wote walio na uhitaji wa kutumia simu janja aina ya Infinix hot 10 huu ndio wakati wao.
Karibuni
Lengo na dhumuni la thread hii ni kuwajulisha wale wote walio na uhitaji wa kutumia simu janja aina ya Infinix hot 10 huu ndio wakati wao.
- Simu ni used kwa muda wa miezi minne na ipo katika excellent conditions.
- Specifications zake: Ram ya 4, Storage ya 32, Camera ya Megapixels ya 13
- Nahitaji 280,000 tu.
- Kwa mawasiliano zaidi 0763797102.
- Location ni Dodoma Mjini
Karibuni