SOWETO_MAN
Member
- May 4, 2021
- 69
- 32
Bei mbona ipo hapo mkuu?...nilisema ni 280,000/=Taja na bei au unafanya udalali..
DuuuhhhDukani ni 250,000 mpyaaaaaa
Sasa hii ya kwake iliyotumika kwanini anauza 280,000?Dukani ni 250,000 mpyaaaaaa
Sehemu na sehemu mkuu....Kwa mfano Dar simu ni bei rahisi kulinganisha na zikifika huku mikoani bei zake ni tofauti kabsaSasa hii ya kwake iliyotumika kwanini anauza 280,000?
Wapi huko mkuu?Dukani ni 250,000 mpyaaaaaa
Kwenye maduka ya simuWapi huko mkuu?
Haziwezi kutofautiana bei kubwa kiasi hichoSehemu na sehemu mkuu....Kwa mfano Dar simu ni bei rahisi kulinganisha na zikifika huku mikoani bei zake ni tofauti kabsa
Tofauti ni kubwa sanaaa bei haziwezi kutofautiana kwa kwa margin kubwa kiasi icho.Sehemu na sehemu mkuu....Kwa mfano Dar simu ni bei rahisi kulinganisha na zikifika huku mikoani bei zake ni tofauti kabsa
Mkuu mm Nilichukua Samsung galaxy grand prime+ huku Dom kwa 280K ,,,Dar nikaulizia kweny duka moja pale Msimbazi street wakanambia bei ya kuuzia ni 250K...Dom bei ya kuuzia ilikuwa hyo 280K!Tofauti ni kubwa sanaaa bei haziwezi kutofautiana kwa kwa margin kubwa kiasi icho.