INFINIX HOT 11 Play haingizi charge kabisa

Joined
Jun 14, 2023
Posts
31
Reaction score
48
Habari wanazengo?
Mwezi ulipoita nilichukua simu aina ya Infinix hot 12 play nikawa natumia lakin charge yake nikasahau Mkoa flani na mimi nikaenda mkoa mwingine sasa nikawa naitumia na simu ilikuwa na asilimia 100% na ilipokuwa inapungua nikawa natumia charge ya infinix lakini tofauti na ilikuwa inaingia vizuri tu, sasa juzi kati nikajichanganya nikaitumia mpaka asilimia 15% nimefika hom najaribu kuweka charge wapi, nikaenda kutafuta charge dukani ya kila aina lakin inaonesha inawasha taa ya charge tu lakini hamna kitu na saa hiv imezima kabisa yaani ina asilimai 0%. Naombeni kujua waliowahii kutumia aina hii ya Infinix Je, shida ni nini hasa au ndo zilivyo?
Asanteni.
 
Peleka kwa fundi wana troubleshoot. Maybe charging system, maybe battery bovu, wewe nenda kwa fundi.
 
Back
Top Bottom