Infinix hot 8 inataka PIN. Nikiweka inakataa.

Ziroseventytwo

Platinum Member
Joined
Mar 27, 2011
Posts
9,451
Reaction score
17,939
Hii simu ilivunjika display kama miezi minne iliyopita. Jana nikaweka kioo kipya. Simu inawaka vizuri ila inadai niweke PIN ambayo naweka ila inaniandikia Pin required after divice restarts. Nikii restart inaendelea kudai PIN. Ukiipigia inaita na naweza kupokea. Ila apps hazionekani.
Msaada tafadhali
 
Mkisaidiwa mnaanzisha ligi na watu wa Samsung, mnasema Infinix ni bora kuliko Samsung, eti watu wa Samsung tunapigwa.
 
Kama ni yako kweli fanya kui hard reset uone kama bado itakua na tatizo hilo... Ikiendelea kua hivyo basi kioo kina shida, hakijawa attached vizuri..
 
Software issues hizo mkuunenda kwa technician akafanye installation
 
Reset kupitia keys volume up and power, au search YouTube how to reset Infinix hot 8 via keys
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…