Infinix simu ngumu kuvunjika na Kufa

Teknolojia ni Yetu sote

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2020
Posts
620
Reaction score
1,240
๐—œ๐—ป๐—ณ๐—ถ๐—ป๐—ถ๐˜… ๐˜€๐—ถ๐—บ๐˜‚ ๐—ป๐—ด๐˜‚๐—บ๐˜‚ ๐—ธ๐˜‚๐˜ƒ๐˜‚๐—ป๐—ท๐—ถ๐—ธ๐—ฎ ๐—ป๐—ฎ ๐—ž๐˜‚๐—ณ๐—ฎ



Kampuni ya infinix wakati tunaelekea mwisho wa mwaka 2024 wao wameamua kutuletea toleo jipya la simu ya infinix Hot50i series' simu za bei poa zikiwa na sifa kedekede.

๐Ÿงฟ Simu hii kiboko kwenye uimara ni ngumu mno kuvunjika ikitokea umeangusha kwa bahati mbaya basi usijali haivunjiki kabisa.



๐Ÿงฟ Pia ina uwezo wa kuzuia maji yasiingie ndani ikitokea simu yako imetumbukia kwenye Swimming pool, mtaroni, au imenyeshewa mvua we relax tu.



๐Ÿงฟ Kioo Kilichokuja nacho kina sifa ya kuzuia mikwaruzo Yani kuvunjika vunjika yani Kioo imara sio poa.



๐Ÿงฟ Imekuja na android Os version ya 14 unaweza fanya upgrade kwenda android version 15.
๐Ÿงฟ Kioo chake Kiko poa kwa wale wapenzi wa Game , content creator wa video au kuandika makala Iko poa sana.



๐Ÿงฟ Muonekano wake sio kama Infinix nyingine hii ni nyembamba Iko poa inashikika mkononi na ku enjoy bila kusahau rangi kali yenye msisimko.

๐Ÿงฟ Speaker za JBL Aisee mdundo mkali wenye kusisimua masikioni na machoni huku ukisikia sauti nzuri yenye ubora wakati unazungumza na simu au kusikiliza kitu.

Imetoka ikiwa na matoleo matatu
๐Ÿ‘‰ Infinix Hot50 yenye 128Gb + 8Gb
๐Ÿ‘‰ Infinix Hot50i yenye 256Gb + 8Gb na
๐Ÿ‘‰ Infinix Hot50Pro + yenye 256Gb + 16Gb
 
Hamna kitu wanaipa sifa tu simu ngumu Kuna hizi Sony za kijapani docomo za kijapani ni ngumu sana hata ukiiangusha haipasuki kioo kiraisi ni laini Moja na sren touch yako Iko soft sana
 
Mimi nikishaona kitu ni Mediatek chipset huwa nasema uwiiii
Unaijua mtk vizuri wewe au unaisikia tu? Tecno wanatumia mtk za bei rahisi na uwezo mdogo ndio maana unaiona mbaya 2023/2024 mtk d9400+ imeongoza kwa ubora mpk ilipotoka snapdragon elite ambayo itaanza kutumika mwakani
 
Hii brand nimekuwa addicted nayo nimeshindwa kubadili brand nyingine badala yake Huwa nabadili thamani ya simu tuu
 
Ni ngumu sana kuwatoa watu kwenye mentality ya kutumia Samsung (sababu ana range kubwa ya simu)
 
Helio G81๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ si uchafu huu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ