Nauza boss.... laki moja na afu thelasin tu ushindwe mwenyeweHujaweka maelezo km unauza au umesha top up umekuja kuturusha roho?
Sio million mbili ni laki moja na afu thelasin bossKwa milioni 2 huoni ghali sana?
64Gb em kua na heshima kwenye biashara za watu. Usipende zarau act mature kakakwa storage hiyo njoo uchukue 50k sasa hivi na wewe uka enjoy na demu wako weekend.
Sasa unakuwa na ghadhabu imekuwa supermarket kwani kuwa bei isiwe negotiable?64Gb em kua na heshima kwenye biashara za watu. Usipende zarau act mature kaka
🙏🏻View attachment 3244003
Infinix smart 7hd
Storage 64Gb
Bei 140,000/=
Ubungo darajan
0️⃣7️⃣6️⃣9️⃣5️⃣0️⃣3️⃣9️⃣6️⃣8️⃣
Unaona ukinunua utamkomboa kimaisha au usiponunua ataumia sana na kufeli si ndio?Sasa unakuwa na ghadhabu imekuwa supermarket kwani kuwa bei isiwe negotiable?
Basi kaa nayo mwenyewe kama unaiona dili sana.
Naona mkewe umeumia mno biashara ya mumeo kushushwa bei.Unaona ukinunua utamkomboa kimaisha au usiponunua ataumia sana na kufeli si ndio?
Kaa na kielfu hamsini chako.