Infinix x612 nikipiga picha picha inageuka juu chini

Infinix x612 nikipiga picha picha inageuka juu chini

kagombe

JF-Expert Member
Joined
Mar 1, 2015
Posts
3,615
Reaction score
1,805
Habari za humu jamani naombeni msaada simu yangu infinix hd model x612.

Camera imenizingua nikipiga picha picha inageuka juu chini na ya nyuma ndio imegoma ata kufunguka kabisa msaada wenu waku inaniletea juu ujumbe ninapojaribu kufunguka camera ya nyuma (The damaged is some function are unavailable)
 
Mkuu mi mwenyewe natumia infinix s4 ya 2019 ila inavoganda hadi huwa nataman kuibamiza wife wife anatumia samsung huu mwaka wa tano haijawahi hata kustake hadi Leo naamin kwa matumizi ya muda mrefu simu ni 2
1 iphone
2 samsung
 
Sawa

Back
Top Bottom