Forexman
Senior Member
- May 7, 2020
- 107
- 202
Heri ya eid el fitr mialiko ni mingi sana ila kama hujapata mualiko endelea kutafuta pesa coz sikukuu sio siku tu sikukuu ni pesa ukiwa na pesa kila siku sherehe
Wakati jana waislam wakisheherekea eid el fitr, forex traders tulikua tunasheherekea inflation rate report ya Marekani ambayo kwangu binafsi imefanya maajabu ambayo sikuyategemea 'it was lit' hii ni kutokana hali ya kiuchumi kwa mataifa mengi hasa mataifa makubwa duniani kuyumba vibaya mno mfano Japan
Inflation rate report ni nini na ina maana gani?
Inflation rate report measures change in the price in goods and services, hivyo kutokana na inflation rate report ya jana maana yake ni kwamba Marekani ipo imara kiuchumi na imefanikiwa kudhibiti mfumuko wa bei, hivyo USD itaendelea kupanda kwa kasi sana dhidi ya other currencies
Je, nini kinasababisha usd kuendelea kuwa imara kwa sasa?
Turudi nyuma kidogo ili kuelewa zaidi, mwaka 2020 lilitokea janga la corona na tulishuhudia anguko kubwa la uchumi duniani lakini corona ilipodhibitiwa na uzalishaji kurejea hapo ndipo matumaini ya USD yalipoanza kukua, hii ni kutokana na mataifa mengi kufanya manunuzi au exports kupitia USD
Mwaka 2022 ilianza vita ya russia na ukraine wakati vita ikiendelea mafuta yaliadimika sana hivyo kupelekea bei ya mafuta kupanda sana sokoni kuliko mwaka mwingine wowote, hii ilikua ni neema nyingine kwa USD kuendelea kuwa imara hii ni kutokana na manunuzi ya mafuta duniani/world oil exports kufanyika kwa USD
Mwaka 2023 tumeshuhudia vita nyingine ya israel na hamas, hizi vita zinapotokea kwa asilimia kubwa silaha zinatokea Marekani hivyo kuchochea ukuaji wa USD kupitia biashara ya silaha. Hata ukraine silaha zake kwa asilimia kubwa zilitokea Marekani
Tuachane na hizo historia nimeweka kama reference tu
Sasa hii inflation rate report ya jana nilitegemea USD ingeripoti mfumuko mkubwa wa bei marekani so nilikua nimeshajiandaa kusell GBPUSD na US30 lakini muda wa ripoti ulipofika sikutegemea ripoti ingesema Marekani haina mfumuko wa bei na ni ishara kuwa USD ipo strong so bigboys wanaedelea kubuy, nilipata mashaka kubuy USD kwa sababu tayari ilikua overbought so kuendelea kubuy kwangu ilikua haimake sense
Wakati nawaza na nakujishauri nifanye uamuzi gani nikafungua MT4 nilichokiona ni phenomenal nilishangaa kuona bigboys wanaendela kubuy heavy USD nikakumbuka theory ya follow the trend otherwise utachezea kichapo, sikusita tena nikaweka order zangu chap nikatulia nione is this real or is it a trap. Kweli bhana kadiri muda unavyokwenda naona flow ya buyers inaongezeka na kuzidi kuliko kawaida and from there the rest is history
Kama tunavyojua mfumuko wa bei ulivyo na athari mbaya kiuchumi pamoja na majanga yote tuliyonayo duniani kwa sasa lakini jana kupitia ripoti hii nimeona marekani kaweza kudhibiti mfumuko wa bei na kuandika historia
Hii ni simple analysis sijaandika vitu complex vitakavyo kuchanganya akili nimeandika kirahisi ili ieleweke kirahisi
What happens in forex trading remains in forex trading
View attachment 2960464
View attachment 2960463
View attachment 2960459
View attachment 2960460