Inflection rate ya Tanzania

Felixonfellix

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2010
Posts
1,672
Reaction score
183
Wakuu
Tafadhali naomba kusaidiwa inflection rate ya mwaka katika kukua kwa uchumi wa tanzania.
Jamani nina shida nayo sana.
Asanteni sana
 
.

Pia ukitaka kuangalia determinants za inflation angalia hapo chini hio pdf

http://www.cmi.no/publications/file/934-determinants-of-inflation-in-tanzania.pdf
 
Hujaelewa jamaa anataka nini, hapa yeye anataka
Inflection rate ya Tanzania, mimi bado naifanyia kazi

Mkuu hiyo ni typo tu na makosa ya kawaida nina uhakika alimaanisha inflation rate

Sababu kwa msaada wa dictionary inflection ni :-

noun
  • a turning, bending, or curving
  • a turn, bend, or curve
  • any change in tone or pitch of the voice; modulation: to signal a question by a rising inflection
  • a change of a curve or arc from convex to concave or the reverse
  • GRAM.
    1. the change of form by which some words indicate certain grammatical relationships, as number, case, gender, or tense
    2. an inflected form
    3. an inflectional element, as those bound forms used in English to form the plural and possessive case of nouns (ships, ship's) and the past tense and third person singular, present indicative, of verbs (he shipped, he ships)

na sehemu ambayo nimeona hili neno linahusishwa na economics ni hapa tu kuhusu mortgages http://www.mortgagenewsdaily.com/mortgage_rates/blog/225973.aspx
 
Wakuu
Tafadhali naomba kusaidiwa inflection rate ya mwaka katika kukua kwa uchumi wa tanzania.
Jamani nina shida nayo sana.
Asanteni sana
mkuu nadhani kuna vitu umechanganya unataka inflation rate ta tanzania ya mwaka 2010 ? au unataka growth rate ukuaji wa uchumi ?

kama ni inflation rate ya tanzania according to IMF ni 9.8% katika mwaka 2010
 
Wote mmefeli. kauliza inflection rate au inflation rate.
 
[h=2]inflection rate ya tanzania[/h]


wakuu
tafadhali naomba kusaidiwa inflection rate ya mwaka katika kukua kwa uchumi wa tanzania.
Jamani nina shida nayo sana.
Asanteni sana


nakukatalia mkuu typing error asingeweza kuifanya kwenye title na kuirudia katika maelezo yake, plz tufanye utafiti tumsaidie mshikaji
 
<br />
<br />
yaani hii unaonesha kwamba ulishaangalia mwanzo na kugundua ni inflation na sio inflection..

labda tumuulize alianzisha uzi anamaanisha nini..
 
nakukatalia mkuu typing error asingeweza kuifanya kwenye title na kuirudia katika maelezo yake, plz tufanye utafiti tumsaidie mshikaji

<br />
<br />
yaani hii unaonesha kwamba ulishaangalia mwanzo na kugundua ni inflation na sio inflection..

labda tumuulize alianzisha uzi anamaanisha nini..

Kwahiyo wakuu nadhani hili neno Inflection kwenye uchumi tunaweza kulitumia kama turning point ya curve..( yaani kama inflation ilikuwa inapanda sasa inflection (turning point) ni pale ambapo inaanza kushuka tena) sasa tukiangalia swali ambavyo lipo formated hapa ni kwamba anamaanisha inflation na sio inflection (turning of point of the curve)..., kwahiyo tunaweza tukawa na inflection ya bei za nyumba (ambapo bei zinapanda sana mpaka inafikia wakati haziwezi kupanda zaidi zinaanza kushuka..)

kwahiyo wakuu hapa issue ni inflation na sio inflection (the turning, bending or curving)....

Sababu you can not know for sure when inflection will occur na hii inflection huwa haitokei kila mwaka sababu graph inavyopanda hatujui for sure ni lini itaanza kushuka...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…