Influencers wa Tanzania kwenye Youtube wapo wapi?

Tengeneza Njia

Senior Member
Joined
Jul 29, 2022
Posts
121
Reaction score
205
Wadau!

Nimekaa na ku-observe kwa muda sasa huu upande wa Youtube ukiachana na wasanii na chaneli maarufu za habari na udaku kupata views nyingi Youtube na hata watu hawa kutumika kama mabalozi wa makampuni kadhaa - hii huwaingizia pesa. Youtubers wapi wengine ambao wapo tunawaona kweli wanaingiza faida na kuaminika na brands kubwa kama ilivyo kwa wenzetu nchi jirani (Kenya na Uganda) au majuu!
Nimeangalia youtubers wengi wa haba bongo (ambao sio wasanii au watu maarufu) wanafanya tu hii kazi kama Hobbie na jitihada zao haziendi popote. Bado Bongo makampuni yanaamini katika kuwatumia wasanii na watu maarufu katika ku-push mambo yao. Haijawahi tokea kuona sura mpya huko barabarani mfano kwenye mabango zaidi ya sura zile zile.

Shida ipo wapi?

Kitu ambacho kimenisukuma kuliongelea hili; miezi miwili iliyopita niliona Kampuni Kubwa ya Perfume ya Lancôme ilialika influencers wengi wanawake kutoka nchi za Kenya, Nigeria, Ghana etc. katika hoteli ya Zuri Zanzibar kwa siku kadhaa kwa ajili ya kuendelea ku-promote bidhaa yao wakakaa kwenye bootcamp. Hivi ni kweli hakuna influencers wa Tanzania ambao wangeweza kushiriki katika mambo kama haya?

Tunakwama wapi? Hobby zetu haziwezi kugeuka kuwa chanzo cha kuingiza pesa?

Mnaweza kutumia link hizi kwa ajili ya reference -

na
 
Blowing a trumpet kwa viziwi ni sawa na kufloat juu ya maji bila imani
Guess what!
Lazima uzame
 
Tanzania vikwazo ni vingi kutokana na uwepo wa viongozi wabovu. Labda nikuulize...

Unajua kisheria ni kosa mtanzania kufungua chanel ya youtube bila kulipa ada ya TCRA? Je gharama ya malipo unadhani youtubers wadogo wataiweza?

Sasa jiulize tena, je kenya au nigeria kuna sheria kandamizi kama hizi?

Ukiachana na sheria kandamizi zilizo wekwa na serikali pia wabongo exposure ni sifuri plus uvivu!
 
Back
Top Bottom