Jaman wadau humu ndani naamin kila mmoja wenu ni mzima, naomben mnifahamishe je majina ya waliochaguliwa kujiunga na udsm pamoja na matawi yake yaan duce, muce nk, batch 8 -10 ni pamoja na wale waliofanya transfer kuhamia katika vyuo hivyooo?
Kama ndivyo niambien maana sielewi mimi out of medical related programme.