Information technology Secretary Anahitajika

Information technology Secretary Anahitajika

Job sanga

Member
Joined
Apr 3, 2019
Posts
61
Reaction score
74
Msaidizi wa kazi za IT Anahitajika.
Vigezo
Awe anajua kusoma na kuandika vizuri kiingereza
Awe na simu ya smart phone
Awe na uelewa kiasi jinsi ya kutumia computer
Awe anajua kutype kwenye computer

Ofisi ipo Makumbusho Dar es salaam

Kwa alikwepo tayari atume message inbox ikiwa na maelezo kwa ufupi kuhusu experience yake ya kazi na mwishoni ajitambulishe kwa jina pamoja na namba ya simu
 
Back
Top Bottom