jikuTech
Senior Member
- Apr 9, 2023
- 108
- 159
Kuwepo Kwa jambo kubwa ambalo ni zuri , ambalo unalimiliki wewe unakuwa na furaha sana na ikiwa jambo hilo anamiliki mtu mwingine basi wewe muda mwingine unakuwa na mawazo labda yule mwenye nalo anajiskia furaha sana, ningekuwa Mimi ningekuwa na furaha pia.
Lakini kuwa nalo jambo hilo au kuwepo kwake mara nyingi Huwa sio rahisi sana na ni rahisi sana kama utafanikiwa kupata utaratibu wa kufanikisha.
Ukifanikiwa kufahamu utaratibu wa jambo Kiundani basi wewe utakuwa tofauti sana na wengine katika namna mbalimbali za kulichukulia au kulitazama Hilo jambo.
Yaani wewe utajua thamani yake hilo jambo na yule ambaye hajui undani wa jambo hilo hauwezi kulithamini kama wewe unaye lielewa.
Jiku Tech Tips imefanikiwa kutengeneza hamasa na uwezo wa namna ya kufanya ili kuwa na uwezo wa pekee kwenye TEHAMA ya Juu
Tehama ya Juu naweza sema ni mkusanyiko wa taaluma nyingi kwenye Tehama zinazo zalisha mambo ya kitaalamu kwenye TEHAMA.
Hapa ni baadhi ya mambo ya kitaalamu katika TEHAMA.
- Ujuzi wa Programming
- Ujuzi wa Kutengeneza programu za simu (App), Programu za Kompyuta, Mifumo ya Tovuti Pamoja na Tovuti
- Ujuzi wa Kutengeneza Jina Kwenye Mtandao Bila Gharama kubwa
Jifunze zaidi