menny terry
JF-Expert Member
- Mar 18, 2011
- 509
- 670
Huyo anaonyesha anajali afya yake ila si mwaminifu. Wewe unafikiri atasema ni ya kwake ? Piga chini.hebu fikiria una Gf wako ambae mna aminiana sanaa na huko nyuma mlisha wahi kupima na kukutwa mpo safi hali hii imewapelekea kuwa mnacheza mechi bila refa but sikumoja katika pekua pekua kwenye pochi yake una kuta ana lady pepeta au condom ya kike na uki muuliza ana sema hii ni ya rafiki yangu amenituma ni mnunulie.
hebu fikiria una Gf wako ambae mna aminiana sanaa na huko nyuma mlisha wahi kupima na kukutwa mpo safi hali hii imewapelekea kuwa mnacheza mechi bila refa but sikumoja katika pekua pekua kwenye pochi yake una kuta ana lady pepeta au condom ya kike na uki muuliza ana sema hii ni ya rafiki yangu amenituma ni mnunulie.[/QUO
Anaondoka kama alivyongia... na kila kilicho changu arudishe

Hapo kwenye red naona kama ni tungo tata kwangu.
Hivi mambo ya kudaiana na kurudishiana vitu mlivyopeana wakati mkiwa wapenzi/wachumba/wanandoa , pindi mnapoachana?
Kama kweli yapo ,hivi mtadaiana na kurudishiana vingapi?? manake kipindi huwa tunapeana vingi sana...
Hivi unaanzaje kuvidai?? ,,manake mmmh!!! naona kizunguzungu tu......
Huyo anaonyesha anajali afya yake ila si mwaminifu. Wewe unafikiri atasema ni ya kwake ? Piga chini.