Ingekua Ni Serikali...

bryan2

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2016
Posts
3,323
Reaction score
4,679
Mtandao mpendwa wa Jamii Forum ungekua ni Serikali ukaambiwa uchague Members kutoka humu watengeneze hiyo serikali

Ungependelea watu gani kutoka humu washike Nafasi Hizi ?
Raisi.
Makamu Wa Raisi.
Waziri Mkuu.
Waziri Wa Mambo Ya Nje&Ushirikiano wa Kimataifa.
Waziri wa Elimu.
Waziri Wa Afya.
Waziri Wa Michezo na Sanaa.
Waziri Wa Ulinzi na mambo Ya Ndani.
Waziri Wa Viwanda...nk

Tume Ya Uchaguzi ni Huru na Haki kabisa hakutakua na figisufigisu katika kuhesabu na Kutoa Matokeo

Welcome
 
kwanza raisi mwenyew hapa,
watakuja wengne wanaoona wanafit nafas zngne katika serikali yanguu...karbun
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…