Ingekua ni wewe mwanaume ungelifanya nini?

Airmanula

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2016
Posts
3,527
Reaction score
5,762
Umeingia kwenye usafiri wetu huu mnauita wa Umma, au kwa kimombo Public Transport. Umekaa kwenye kiti mwanaume unatafakari ya hapa na pale ya maisha yako huku ukisubiria gari ijaze abiria ili muweze kuondoka.

Ghafla anaingia mdada wa haja, mrembo, kajazia vya kujaza, kiuno kama nyigu, mweupe si mweupe, mweusi so mweusi, halafu kama kuna mixture Fulani hivi ya ushombeshombe kwa mbaaali, kwa ufupi ni mzuri, unaishia kula kwa macho na kuguna tu

Basi bwana, gari ishajaza abiria, konda naye kashagonga utingo na kelele juu kumpa signo dreva alianzishe, sasa njiani bwana huku ukiendelea kuwaza na kuwazua mrembo anatoa simu yake kwenye pochi, na inaonekana yuko bize kweli sasa tabia yetu wabongo haswa kwenye usafiri wetu wa umma kutupia jicho simu ya mwingine kuona anachoangalia ama kuandika msg na kusoma

Basi unatupia jicho, ghafla unaona bidada anaangalia video za sex

Wewe kama mwnaaume utachukua hatua gani
 
Mkuu unajua video za kikubwa haziangaliwi angaliwi ovyo ovyo?

Hiyo unayotaka kusema ni impossible impossible future present tense!
 
Mkuu unajua video za kikubwa haziangaliwi angaliwi ovyo ovyo?

Hiyo unayotaka kusema ni impossible impossible future present tense!
Mdada alikua anaziangalia sasa ..tena pono haswa sio movie hizi
 
Mwanaume kamili sio mmbea( hafuatilii mambo yasiyomhusu)kitendo cha kufuatilia simu ya mtu yanakuhusu nini ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…