INGEKUA WATOTO WAO KWELI WANGEKUA KIMYA Necta2012

BUMIJA

JF-Expert Member
Joined
Oct 19, 2011
Posts
5,950
Reaction score
11,295
Nguvu ya soda inajulikana sku zote,matokeo yalipotoka kelele zilikua nyingi,waliofeli wengi ni watoto wa wapiga kura,naamini hakuna mtoto wa waunda tume anayesoma shule hizo,mpaka leo kama unasubiri uamuzi wa serikali umeumia,EE Mungu wadogo zetu
 
WEWE unashangaa nini? watoto wa walala hoi katika mkoa wa dar walikalia mawe kwa miaka sita ! sule zote za uswahilini walioko walala hoi watoto wao walikalia mawe lakini shule za kule kuliko kle kimaisha hawakujua hali hiyo.

ukisoma kitabu cha animal farm, utagundua kwa kiasi gani farasi alifanywa ----- na wanwe katika jumuia hiyo huku kila kukicha akibeba jiwe kubwa kusaga unga wakati nguruwe na mbweha wakifaidi maisha.

lakini yetu ni macho tuu kwa sababu haya mambo yalianzia huko Italia mwaka 1985 na wao wanajutia hilo mpaka leo kwa jinsi watoto wa masikini MAFIA wanavyo waliza mpaka leo hii.
 
Ni kweli,hawa watoto watakua na effect hapo badae,kifamilia na kijamii,we create generation of frustrated humans
 
Nguvu ya soda inajulikana sku zote,matokeo yalipotoka kelele zilikua nyingi,waliofeli wengi ni watoto wa wapiga kura,naamini hakuna mtoto wa waunda tume anayesoma shule hizo,mpaka leo kama unasubiri uamuzi wa serikali umeumia,EE Mungu wadogo zetu

Dark future.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…