green rajab
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 12,387
- 39,119
Habari Wakuu nimewaza hii kitu baada kuona Mambo mengi fake tunaibiana na kudanganyana ingekuaje kama we member ke na me jinsi ulivyotumika (kungonoka) ingesoma milleage kama gari mi ingesoma Milleage 12 ila kuna member kama Shunie au Kapeace na amini milleage zinasoma 998899 bado kidogo ziguse Milioni wanabahati wanaservice vingenevyo wangengoroka na kua mabibi kabla ya umri wao