kibaravumba
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 6,634
- 7,015
Mbona unaandika kama hujiamini,unajitekenya uku unachekaKuna matukio huwa yakitokea huwa najiuliza akili za baadhi ya binadamu zinavyoyumba.
Utakuta mtu kavaa vizuri sana ila kumbe ni yanga! Unashangazwa anavyoshangilia simba kufungwa mechi ya kirafiki,wakijifariji baada ya kutolewa klabu bingwa.Kitendo cha kutolewa nakilinganisha kama mwanachuo aliyekatishwa masomo kwa kuondolewa baada ya kufeli maarufu kama ku "disco"
Simba mechi yake ya jana ilikuwa kama quiz tu.Lakini Simba walikuwa na kila sababu ya kufurahia yanga kufungwa kwenye siku yao kutokana na mfungaji kujulikana kama "kapumbu!" Kupigwa goli na Kapumbu ni jambo litabaki kwenye kumbu kumbu siku zote.Mlimwita wenyewe
Kwa akili hizo ukute na wewe ni mwanaume?. Eti umefikiri kabisa ndio jambo la kuandika?.Kuna matukio huwa yakitokea huwa najiuliza akili za baadhi ya binadamu zinavyoyumba.
Utakuta mtu kavaa vizuri sana ila kumbe ni yanga! Unashangazwa anavyoshangilia simba kufungwa mechi ya kirafiki,wakijifariji baada ya kutolewa klabu bingwa.Kitendo cha kutolewa nakilinganisha kama mwanachuo aliyekatishwa masomo kwa kuondolewa baada ya kufeli maarufu kama ku "disco"
Simba mechi yake ya jana ilikuwa kama quiz tu.Lakini Simba walikuwa na kila sababu ya kufurahia yanga kufungwa kwenye siku yao kutokana na mfungaji kujulikana kama "kapumbu!" Kupigwa goli na Kapumbu ni jambo litabaki kwenye kumbu kumbu siku zote.Mlimwita wenyewe
Kwa akili hizo ukute na wewe ni mwanaume?. Eti umefikiri kabisa ndio jambo la kuandika?.
Hiyo sio sweet (swit)wewe. Hiyo ni swet(swet). Shule mnasomea ujinga?We dada acha kujiuza mtandaoni.Cheki user name yako...majina ya wauza k wa mtandaoni