Umeme imekuwa kero sana hapa Tanzania kiasi biashara haziendi kama saloon, mboga kama nyama, samaki nk ambazo zinapaswa kutunzwa kwenye friji.
Sijui kwa nini Rais Bado Yuko madarakani tena naskia eti anapewa hata PhD bila aibu kabisa. Na sisi watanzania jamani tuamke maandamano siyo dhambi tuache uoga. Mendeleo hayaji kwenye sahani lazima myapiganie.