Umeme imekuwa kero sana hapa Tanzania kiasi biashara haziendi kama saloon, mboga kama.nyama, samaki nk ambazo zinapaswa kutunzwa kwenye friji.
Sijui kwa Nini rais Bado Yuko madarakani tena naskia eti anapewa hata PhD bila aibu kabisa.
Nasisi watanzania jamani tuamke maandamano siyo dhambi tuache uoga. Mendeleo hayaji kwenye sahani lazima myapiganie
😂😂Aya nenda kaandamane...utajikuta mwenyewe wenzako wanafaidi huku...anaupiga mwingiUmeme imekuwa kero sana hapa Tanzania kiasi biashara haziendi kama saloon, mboga kama.nyama, samaki nk ambazo zinapaswa kutunzwa kwenye friji.
Sijui kwa Nini rais Bado Yuko madarakani tena naskia eti anapewa hata PhD bila aibu kabisa.
Nasisi watanzania jamani tuamke maandamano siyo dhambi tuache uoga. Mendeleo hayaji kwenye sahani lazima myapiganie
Watengeneza mageti, mafundi seremala wengi wanatumia umeme, zahanati na vituo vya afya vinachemshaje vifaa, mitambo ya uchunguzi magonjwa inafanyaje kazi? Wao wana majenereta sidhani kama wanakusikia.Umeme imekuwa kero sana hapa Tanzania kiasi biashara haziendi kama saloon, mboga kama.nyama, samaki nk ambazo zinapaswa kutunzwa kwenye friji.
Sijui kwa Nini rais Bado Yuko madarakani tena naskia eti anapewa hata PhD bila aibu kabisa.
Nasisi watanzania jamani tuamke maandamano siyo dhambi tuache uoga. Mendeleo hayaji kwenye sahani lazima myapiganie
Zingatia hayaUmeme imekuwa kero sana hapa Tanzania kiasi biashara haziendi kama saloon, mboga kama.nyama, samaki nk ambazo zinapaswa kutunzwa kwenye friji.
Sijui kwa Nini rais Bado Yuko madarakani tena naskia eti anapewa hata PhD bila aibu kabisa.
Nasisi watanzania jamani tuamke maandamano siyo dhambi tuache uoga. Mendeleo hayaji kwenye sahani lazima myapiganie
Ishu sio jinsia yake...hapo ndo mnapokosea...Kuna nchi ngapi duniani zimekuwa na viongozi wa kike na wameenda freshi..na viongozi wangapi wa kiume wamepita matatizo kibao wameleta..mjudge kwa matendo yake sio jinsiaSubiria machawa wake waje wakupopoe bila aibu hapa, lakini kiukweli kwa yule bibi tumepigwa nyingi sana za kichwa wasije kufanya kosa la kutuletea Raisi mwingine mwanamke
Christmas sit xmass. Wanapsema Xmas wanadhalilisha ukristo kwamba ni siku ya x yaani ngonoWalizima hadi siku ya sherehe za xmass
Duu . Haya mfia diniChristmas sit xmass. Wanapsema Xmas wanadhalilisha ukristo kwamba ni siku ya x yaani ngono