Ingekuwa mama yako ndio anafanyiwa hivi ungechukua hatua gani?

Nimewablock na kufuta namba za ndugu zangu baada Tu ya kujua changamoto fulani za mama yangu kunung'unika wao ndio waliosababisha..

Daima usikubali Mama yako adharauliwe mbele yako.... [emoji3578][emoji736]
 
Inauma kwa kweli lakini huwezi jua kilichofanya mpaka ikafikia hapo.
 
Hii itakuwa Kenya na huyo mama nadhani ni mama muuza pombe za kienyeji!
 
Polisi kenya nao wana majanga yao..
Hakika Polisi kuingia Peponi ni kazi sana.
 
Ingekuwa ni mama yangu, huyo jamaa angejikuta kenda salimia mbinguni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…