Ingekuwa milioni 5 wameahidiwa Wachaga, Wakinga au Waha mbona wangeshinda game

Ingekuwa milioni 5 wameahidiwa Wachaga, Wakinga au Waha mbona wangeshinda game

mockers

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2013
Posts
12,843
Reaction score
35,442
Wakuu
Siku ikitoka ahadi ya pesa tafadhali tuchague watu wa hayo makabila wakapambanie kombe muone kama hawashindi.

Pesa umuahidi mchaga aiache? Kwa mbinu zozote lazima aipate. Umuahidi muha anaefuata buku kwa mguu kutoka buguruni hadi mbezi na anarudi kwa kutembea aache kupambana kuipata pesa sio kweli.

Umuahidi pesa mkinga ambae anakula mlo mmoja siku mbili useme atashindwa kuichukua pesa yako sio kweli hapo.

Lazima wangepambana hadi kieleweke mapema tu iwe kwa utaalamu au kwa mbinu mbadala lakini pesa wangechukua tu.
 
Ukiahidiwa pesa zozote unazozitaka na wanawake wote unaowataka alafu uambiwe upae utaweza?
 
Back
Top Bottom