Ingekuwa ni Aibu Kubwa kuelekea Mechi ya Kombe Kubwa la AFL Simba SC isiwe inaongoza Ligi Kuu ya NBC

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Walioshika ( Walioko ) nafasi za Pili na hasa yule aliye nafasi ya Tatu hapo ndipo mahala pake na huenda akadumu au akapambana na wa Juu yake kuwania nani awe wa Pili na wa Tatu huku Mshamba Mwingine wa Kilimo cha Alizeti nae akipambana na Mshamba Mwingine Mlima Korosho kugombea nafasi ya Nne.
 
Sisi Yanga tunajipanga tu,nyie endeleeni na porojo
 
Walioshika ( Walioko ) nafasi za Pili na hasa yule aliye nafasi ya Tatu hapo ndipo mahala pake na huenda akadumu au akapambana na wa Juu yake kuwania nani awe wa Pili na wa Tatu huku Mshamba Mwingine wa Kilimo cha Alizeti nae akipambana na Mshamba Mwingine Mlima Korosho kugombea nafasi ya Nne.
Kwahiyo iyo nafasi yenu ndo inacheza mpira hiyo tarehe 20?
 
Simba anaongoza kwa mchongo wewe jipapatue tu nafasi yake inafahamika ni suala la muda tu na kama kuongoza ligi ndiyo mnadhani ni silaha yenu kwenye mashindano ya CAF enyi mbumbumbu mnajidanganya Yanga ni sawa na karunguyeye ukimweka mfukoni kazi ipo kwenye kumtoa humo mfukoni namaanisha mfuko wa suruali.
 
Aahaaa,sawa mkuu
 
Ukiona Simba anaongoza ligi ujue Ligi bado mbichi.
Nafasi ya Simba inafahamika.
 
Back
Top Bottom