GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Sisi Yanga tunajipanga tu,nyie endeleeni na porojoWalioshika ( Walioko ) nafasi za Pili na hasa yule aliye nafasi ya Tatu hapo ndipo mahala pake na huenda akadumu au akapambana na wa Juu yake kuwania nani awe wa Pili na wa Tatu huku Mshamba Mwingine wa Kilimo cha Alizeti nae akipambana na Mshamba Mwingine Mlima Korosho kugombea nafasi ya Nne.
Mmeacha kujipanga kabla ligi haijaanza mnajipanga leosisi yanga tunajipanga tu,nyie endeleeni na porojo
Kwahiyo iyo nafasi yenu ndo inacheza mpira hiyo tarehe 20?Walioshika ( Walioko ) nafasi za Pili na hasa yule aliye nafasi ya Tatu hapo ndipo mahala pake na huenda akadumu au akapambana na wa Juu yake kuwania nani awe wa Pili na wa Tatu huku Mshamba Mwingine wa Kilimo cha Alizeti nae akipambana na Mshamba Mwingine Mlima Korosho kugombea nafasi ya Nne.
Ndo ushangae,Mmeacha kujipanga kabla ligi haijaanza mnajipanga leo
Simba anaongoza kwa mchongo wewe jipapatue tu nafasi yake inafahamika ni suala la muda tu na kama kuongoza ligi ndiyo mnadhani ni silaha yenu kwenye mashindano ya CAF enyi mbumbumbu mnajidanganya Yanga ni sawa na karunguyeye ukimweka mfukoni kazi ipo kwenye kumtoa humo mfukoni namaanisha mfuko wa suruali.Kwahiyo iyo nafasi yenu ndo inacheza mpira hiyo tarehe 20?
Aahaaa,sawa mkuuSimba anaongoza kwa mchongo wewe jipapatue tu nafasi yake inafahamika ni suala la muda tu na kama kuongoza ligi ndiyo mnadhani ni silaha yenu kwenye mashindano ya CAF enyi mbumbumbu mnajidanganya Yanga ni sawa na karunguyeye ukimweka mfukoni kazi ipo kwenye kumtoa humo mfukoni namaanisha mfuko wa suruali.
Mnajipanga kufa cha mende au? Maa Manara amesema mpo kwenye kundi la kifosisi yanga tunajipanga tu,nyie endeleeni na porojo