ingekuwa ni wewe ungefanyaje? hii ni kwa wasichana tu!

Loreen

Senior Member
Joined
Dec 24, 2011
Posts
110
Reaction score
32
habarini wanajf, let asume wewe ni msichana ulianza uhusiano na kijana miaka 10 iliyopita means kwanzia secondary, wakati mnaanza urafiki alikulazimisha sana mnaniii ......lakini ukakataa ukiogopa ni dhambi,mlivyokuwa wakubwa zaidi namaanisha miaka 22 na kuendelea akakukumbusha tena kunanii ukakataa, mlipofika miaka 23,24,25 akasitisha kabisa kukwambia kuhusu kudo, na bado ni wapenzi,je kunamapenzi hapo? au ni chukua chako mapema?
 
Yapo mapenzi anakuepushia dhambi au kuwa mzinzi na zaidi anakupunguzia kupata STD.
 
Watu wengine bana...sasa kama HUTAKI..UNATAKA aendelee kuomba ili iweje?!

Kuomba omba nako kunachosha..siku ukiwa tayari mjulishe,usikae ukisubiria "NAOMBA" nyingine!!
 
Hahaaa!
Dah! Huyo atakuwa kashapata kwingine anaogopa jinsi ya kukwambia na isitoshe wapenz wa mda mrefu hivyo huwa hawawezi kufika kwenye ndoa, kama yamekukuta ww mshukuru mungu kwakuwa ulikuwa hujamvulia ch*p* na daima atakuheshimu kwa msimamo uliounesha.
 

Kama ni kuasume nadhan hata vidume tunahaki ya kuchangia, kama yamekukuta wewe pole bt hapo kaa ukijua mpenzi wako boya!
 
Watu wengine bana...sasa kama HUTAKI..UNATAKA aendelee kuomba ili iweje?!

Kuomba omba nako kunachosha..siku ukiwa tayari mjulishe,usikae ukisubiria "NAOMBA" nyingine!!

Mapenzi ni kupeana, ukileta tabia zakichoyo kama ni mimi nakupotezea ubaki na ushamba wako!
 
Mapenzi ni kupeana, ukileta tabia zakichoyo kama ni mimi nakupotezea ubaki na ushamba wako!

Sasa akatae basi yaishe!!
Mtu anakataa alafu bado anataka aendelee kuombwa miaka nenda rudi.Ili iweje?!
 
lizzy vp ww sema kama kuna mapenzi hapo au la ! cjaona jibu lako hasa ninini!
 
Kidume ameweka msimamo..kuombaomba sasa basi...binti sasa ndio anataka kufungua..jamaa hajali.Sasa tuone mwisho wa huu mchezo nani mshindi.Yangu computer macho yatatoboka!
 
Sasa akatae basi yaishe!!
Mtu anakataa alafu bado anataka aendelee kuombwa miaka nenda rudi.Ili iweje?!

Huyo niwakumpotezea aisee. Mshamba! Miaka 10, 22, 23,24, 25... Duh! Mchoyo balaa!
 
Hii imekaa ki hadithi hivi. yaani miaka 10!!!!!!!, nina wasiwasi hata wewe ulikuwa una doo na wengine cause, kama sababu ni dhambi....ni ngapi unazozifanya?????


 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…