Fidel tusichukue uamuzi wa harakaharaka bali tuangalie kwa undani.
Na je ikiwa wewe ndiyo wa kuondoka na rambo mkononi kwa maana ya kuwa yeye ndiye mwenye uwezo?
Kwa undani kivipi?
Mwanamke akitoka nje ya ndoa ni dharau kubwa sana kwa mwanaume anastahili kufukuzwa kabisa...
Mwanamke kama umetoka nje unamdhalilisha mmeo na ni dharau kwa mmeo.
TENA UMESEMA VEMA KABISAAA!
Wanaume nao wajue kuwa wanapotoka nje wanawadharau na kuwadhalilisha wake zao na inauma sana kujua kuwa mumeo ametembea na mwanamke mwingine.Ndiyo maana wazungu hawavumilii upuuzi huu- ni talaka tu.Siyo kama sisi waswahili ukiombwa msamaha na kubembelezwa unakubali .
Usha qualify kwa kusema ZAMANI.Tuko enzi nyingine.Mwanaume zamani ilikuwa mtu akitoka nje na kuongeza mwanamke au mke mwingine unaonekana wewe ni rijali na mke mmoja hakutoshi....
Mwanaume zamani ataka kuwa na mke white,black,mnene,mwembamba,mwenye kalio,kimodel n.k
Naomba kuuliza, nani alaumiwe Anaeanza au anaefuata?
Usha qualify kwa kusema ZAMANI.Tuko enzi nyingine.
Kama ni zamani - kuna mambo mengi zamani yalikuwa yanafanyika na kuonekana ya kawaida lakini ukiyafanya siku hizi utafanyaa watu wakushangae!
...wote ni wakosa!
TENA UMESEMA VEMA KABISAAA!
Wanaume nao wajue kuwa wanapotoka nje wanawadharau na kuwadhalilisha wake zao na inauma sana kujua kuwa mumeo ametembea na mwanamke mwingine.Ndiyo maana wazungu hawavumilii upuuzi huu- ni talaka tu.Siyo kama sisi waswahili ukiombwa msamaha na kubembelezwa unakubali .
BAK,WoS, wazungu wengi siku hizi wanaruhusu hili la mume na mke kuwa na boyfriend au girlfriend nje ya ndoa na wanadai kwamba limepunguza kwa kiasi kikubwa ugomvi unaosababishwa na wivu. Mradi tu njemba au mama aage nyumbani kwamba anaenda kwa girlfriend/boyfriend wake naweza kurudi au kulala huko huko. Sijui kma hili litakubalika kwenye jamii yetu ya Kitanzania.
BAK,
Thanks for the info.Nadhani hapa napo ndipo tunapotofautiana tena na hawa wenzetu.Jamii zetu zimejaa unafiki wa hali ya juu.Hatupendi kuona ukweli na kuukubali.
Utakuta mwanaume amekuchoka, hakutaki lakini hapo hapo anakulilia wivu.Usisemeshwa wala hata kupewa salamu. Kosa! Inakuwaje hii?
I am 100% with you on your argument about this. Utamuona njemba hajamgusa mkewe miezi chungu nzima maana yuko busy na nyumba ndogo, lakini Mkewe akiongeleshwa na njemba nyingine basi ni ugomvi wa mama ntazamie. Kweli huu ni unafiki mkeo hujamgusa miezi chungu nzima, humtimizii matamanio yake ya kimwili kama mwanamke na wakati huo huo hutaki njemba nyingine zimchangamkie. MWACHE BASI ILI AANGALIE USTAARABU MWINGINE!!
I am 100% with you on your argument about this. Utamuona njemba hajamgusa mkewe miezi chungu nzima maana yuko busy na nyumba ndogo, lakini Mkewe akiongeleshwa na njemba nyingine basi ni ugomvi wa mama ntazamie. Kweli huu ni unafiki mkeo hujamgusa miezi chungu nzima, humtimizii matamanio yake ya kimwili kama mwanamke na wakati huo huo hutaki njemba nyingine zimchangamkie. MWACHE BASI ILI AANGALIE USTAARABU MWINGINE!!
WoS, wazungu wengi siku hizi wanaruhusu hili la mume na mke kuwa na boyfriend au girlfriend nje ya ndoa na wanadai kwamba limepunguza kwa kiasi kikubwa ugomvi unaosababishwa na wivu. Mradi tu njemba au mama aage nyumbani kwamba anaenda kwa girlfriend/boyfriend wake naweza kurudi au kulala huko huko. Sijui kma hili litakubalika kwenye jamii yetu ya Kitanzania.
BAK,
Thanks for the info.Nadhani hapa napo ndipo tunapotofautiana tena na hawa wenzetu.Jamii zetu zimejaa unafiki wa hali ya juu.Hatupendi kuona ukweli na kuukubali.
Utakuta mwanaume amekuchoka, hakutaki lakini hapo hapo anakulilia wivu.Usisemeshwa wala hata kupewa salamu. Kosa! Inakuwaje hii?
Vichaa wawili wa kike na wakiume wakipita mbele ya hadhara ya watu bila nguo,nidhahiri shahiri kuwa kwa kichaa wa kiume watu hawatajali, bali kwa yule wa kike kila mtu atakuwa ATTENTIVE.Kumekuwepo na majadiliano ya kutosha sana humu jamvini kuhusu matatizo ya wanawake na waume au wapenzi wao - Kutelekezwa, kuletewa nyumba ndogo,kuachiwa mzigo wa kulea familia, kutumiwa n.k.Pia tumejadili kuhusu kwanini wanaume hawapendi ushirika kwenye mapenzi.
Tunajua kabisa kuwa tamaduni, mila, desturi, dini vyote vinaamrisha wanandoa kuheshimu ndoa zao.Pamoja na hayo ukweli unabakia kuwa wanandoa hutetereka katika kuheshimu viapo vyao.Msisitizo zaidi uko katika kuwataka wanawake wajiheshimu na inashangaza kuwa msisitizo hauko zaidi katika kuwabana wanaume.Kutokana na hili, wanaume nao wamekuwa wakilega zaidi katika kuheshimu ndoa au mahusiano yao.
Matokeo yake ni kuwa watu wamekuwa wakifumbia macho suala zima la kutoka nje ya ndoa.Hakuna mwanamke anakubali kuwa wanawake nao wanatetereka , na hata wanaume nao wanajidanganya kuwa wapenzi wao au hata wake zao hawatoki nje ya ndoa.Ila hapohapo tunasikia ati vipimo vya DNA vimethibisha kuwa idadi kubwa ya watoto waliozaliwa na wazazi waliokuwa na mabishano kuhusu nani baba wa mtoto - wameonekana siyo wa akina baba hao walengwa.
Je, Mwanaume anayetoka nje ya ndoa na mke wa mtu au mpenzi wa mtu mwingine anajisikia vipi pale mkewe akichukuliwa na mwanaume mwingine?
Hii mada nataka kuchokoza kupata mawazo ya wanaume maana assumption ni kuwa wanawake hawatoki nje ya ndoa ( japo inajulikana kuwa wanatoka)
lakini hapo hapo inajulikana kuwa wanaume wanatoka tena wakati mwingine na wake za watu au wapenzi wa watu wengine.
Hii mada nataka kuchokoza kupata mawazo ya wanaume maana assumption ni kuwa wanawake hawatoki nje ya ndoa ( japo inajulikana kuwa wanatoka)lakini hapo hapo inajulikana kuwa wanaume wanatoka tena wakati mwingine na wake za watu au wapenzi wa watu wengine.
Wakati niko Jandoni na wenzangu moja wapo ya vitu tulivyoelezwa ni kuwa wake za wenyewe pia hutoka nje ya ndoa, kwa hali hiyo baba mwenye nyumba unaposafiri si vema wakati wa kurudi ukaenda nyumbani moja kwa moja, badala yake kale kazawadi ulikokuja nako unakatanguliza kwa kumtuma mtoto yeyote ili iwe ishara kwamba mwenye mji amesharejea nyumbani na kama mama mwenyenyumba alikuwa na mishemishe basi aweke mambo vizuri. Philosofia hii ukiichambua kwa undani zaidi unaona kuwa kitu muhimu ni anayetendewa kutofahamu kuwa anatendewa na hivyo hujiaminisha kuwa mambo ni shwari. Hili utaliona, mathalan, kwenye wanaume kutafuta mchumba wa kuoa. Nakumbuka wanaume wengi wa vijijini hupenda kutafuta mchumba wa kijiji kingine kwa sababu anaamini kuwa wanawake wa kijiji chake ni wahuni kwa sababu tu anafahamu kuwa fulani anamahusiano na fulani na fulani, lakini kwenye kijiji kingine anakuwa hajui kinachoendelea. Lakini pia hata nyakati za sasa utakuta vijana wa vyuo wanakwenda kutafuta wapenzi kwenye vyuo vingine kwa kuamini kuwa wale wa chuoni kwao ni wahuni kwa sababu kama nilizozitaja hapo juu.
Hali hii ndiyo huleta hitimisho la "........siamini macho yangu......., au sikutarajia kama na wewe uko hivi"; pale mtu anaposhuhudia laiv mwenzi wake akijirusha na mtu mwingine
Hii philosophy ya usilolijua halitakuumiza ni nzuri na kweli inasaidia kupunguza maumivu but kwanini usilijue la mwenzio (mke au mume)? Km mmeamua kuwa wanandoa inabidi mambo yawekwe hadharani ili watu mfahamiane inavyopasa. Hii itatoa nafasi kwa mtu kuchagua kusuka au kunyoa. Ndio maana wenzetu 'wazungu' hawako wanafiki km mke anaboyfriend mume ataambiwa ili ajichagulie la kufanya km kuendelea au divorce! Kuchimbana ni kawaida cha msingi usifanye mambo ya 'gizani',fanya mchana kweupeee mwenzio ajue nini kinaendelea ili aamue nayeye afanyeje, kwa makubaliano.