ndyoko JF-Expert Member Joined Nov 2, 2010 Posts 4,971 Reaction score 1,652 Mar 24, 2012 #1 gekuwa vipi kama matatizo aloyapata Muamba ndo yangemkuta Messi, unadhani mashabiki wa timu fulani ya Uingereza waneombea apone? Tafakari!!!!!!!!
gekuwa vipi kama matatizo aloyapata Muamba ndo yangemkuta Messi, unadhani mashabiki wa timu fulani ya Uingereza waneombea apone? Tafakari!!!!!!!!
Masanilo Platinum Member Joined Oct 2, 2007 Posts 22,286 Reaction score 4,523 Mar 24, 2012 #2 Uchizi huu
Shark JF-Expert Member Joined Jan 25, 2010 Posts 29,775 Reaction score 29,746 Mar 28, 2012 #3 ndyoko said: gekuwa vipi kama matatizo aloyapata Muamba ndo yangemkuta Messi, unadhani mashabiki wa timu fulani ya Uingereza waneombea apone? Tafakari!!!!!!!! Click to expand... Ingekua poa tu, Kwani na huyo Messi wao hatujawahi kufungwa tukiwa tumetimia 11.
ndyoko said: gekuwa vipi kama matatizo aloyapata Muamba ndo yangemkuta Messi, unadhani mashabiki wa timu fulani ya Uingereza waneombea apone? Tafakari!!!!!!!! Click to expand... Ingekua poa tu, Kwani na huyo Messi wao hatujawahi kufungwa tukiwa tumetimia 11.
Shakazulu JF-Expert Member Joined Feb 23, 2007 Posts 957 Reaction score 281 Mar 28, 2012 #4 Shark said: Ingekua poa tu, Kwani na huyo Messi wao hatujawahi kufungwa tukiwa tumetimia 11. Click to expand... Nyie subirini kufungwa mkiwa 11 wakati wenzenu wanabeba vikombe!!!
Shark said: Ingekua poa tu, Kwani na huyo Messi wao hatujawahi kufungwa tukiwa tumetimia 11. Click to expand... Nyie subirini kufungwa mkiwa 11 wakati wenzenu wanabeba vikombe!!!