Ingekuwa vipi urudiwe mpambano wa kwanza unit vs the diplomatiz

Baraka F.K

Member
Joined
Aug 28, 2012
Posts
79
Reaction score
28
Nimewakumbuka sana wasanii waliotingisha muziki wa kizazi kipya miaka ya 90's

Kwanza Unit (Adili -Nigger One R.I.P, D-Rob Zomba R.I.P, Kibacha -K single, Y Thang, Fresh G, Chief Ramson - Zavara) Mimi msafiri, Haturap, Upanga

Diplomatiz - Saigon, Dolasol - Balozi, Chris, Stiggo,Ibony -Turuke, Are you down, Blah blah
 
Ingekua poa tu,
Ni Kwanza kati yao wangeibuka mikono juu,
Nasema, Kwanza kati yao wangeibuka mikono juu!!
 
Haah haah haah sio kwamba watoto wa Ilala wataibuka mikono juu?
 
Kwanzanians usiwashindanishe na hao mabitoz
 
Nimewakumbuka sana wasanii waliotingisha muziki wa kizazi kipya miaka ya 90's

Kwanza Unit (Adili -Nigger One R.I.P, D-Rob Zomba R.I.P, Kibacha -K single, Y Thang, Fresh G, Chief Ramson - Zavara) Mimi msafiri, Haturap, Upanga
Ingekua vipi angekua hai D-Rob?
Na Chief Ramson angekua Bongo?
Y Thang kwa kidato, Umrudishe K-Single,
Kwanza ingekua mfano, kwa Ma-MC wa Bongo,
Nani angekua mzigo, na nani angekua Widow?
 
Mmenikumbusha Tambaza sec,maana Y Thang wa kwanza unit,na jamaa wa Diplomats mwaka 1992 hadi 1995 walikuwa hapo,kweli Hip hop is dead
 
Nimewakumbuka sana wasanii waliotingisha muziki wa kizazi kipya miaka ya 90's

Kwanza Unit (Adili -Nigger One R.I.P, D-Rob Zomba R.I.P, Kibacha -K single, Y Thang, Fresh G, Chief Ramson - Zavara) Mimi msafiri, Haturap, Upanga

Diplomatiz - Saigon, Dolasol - Balozi, Chris, Stiggo,Ibony -Turuke, Are you down, Blah blah

Hivi Dj Yusuph yeye alikuwa hana kundi au alikuwa nalo?
 
Flow za Baggzy Mallone kwenye "Utaona" nani wa Dewplomatz angezifikia?

Au kiitikio alichopiga Zomba still Dewplomatz wangeomba PO tu.
 
DIPLOMATZ HATARE, SAIGON FUNDI, Turuke kwa furaha
 
Ingekua vipi angekua hai D-Rob?
Na Chief Ramson angekua Bongo?
Y Thang kwa kidato, Umrudishe K-Single,
Kwanza ingekua mfano, kwa Ma-MC wa Bongo,
Nani angekua mzigo, na nani angekua Widow?
Kwani D Rob amevuta?
 
Izo joints za KU hazikosi kwny play list yng duh natamani nipate nyingi zaidi msaada kwny tuta kwa aliebarikiwa,nko KU kwny hii battle.
 
Back
Top Bottom