Baraka F.K
Member
- Aug 28, 2012
- 79
- 28
ndio kina nani hao?
Ingekua vipi angekua hai D-Rob?Nimewakumbuka sana wasanii waliotingisha muziki wa kizazi kipya miaka ya 90's
Kwanza Unit (Adili -Nigger One R.I.P, D-Rob Zomba R.I.P, Kibacha -K single, Y Thang, Fresh G, Chief Ramson - Zavara) Mimi msafiri, Haturap, Upanga
Mmenikumbusha Tambaza sec,maana Y Thang wa kwanza unit,na jamaa wa Diplomats mwaka 1992 hadi 1995 walikuwa hapo,kweli Hip hop is dead
Nimewakumbuka sana wasanii waliotingisha muziki wa kizazi kipya miaka ya 90's
Kwanza Unit (Adili -Nigger One R.I.P, D-Rob Zomba R.I.P, Kibacha -K single, Y Thang, Fresh G, Chief Ramson - Zavara) Mimi msafiri, Haturap, Upanga
Diplomatiz - Saigon, Dolasol - Balozi, Chris, Stiggo,Ibony -Turuke, Are you down, Blah blah
Flow za Baggzy Mallone kwenye "Utaona" nani wa Dewplomatz angezifikia?
Au kiitikio alichopiga Zomba still Dewplomatz wangeomba PO tu.
Kwani D Rob amevuta?Ingekua vipi angekua hai D-Rob?
Na Chief Ramson angekua Bongo?
Y Thang kwa kidato, Umrudishe K-Single,
Kwanza ingekua mfano, kwa Ma-MC wa Bongo,
Nani angekua mzigo, na nani angekua Widow?
Kwani D Rob amevuta?