Ingekuwa vipi urudiwe mpambano wa kwanza unit vs the diplomatiz

Huu uzi nimetoka kapa. Sijaelewa kabisa kinachoendelea
bora umejitambua,sio Lazima kujua kila kitu,halafu usinge comment ingekuwa poa zaidi.
anyways FYI wanaongelea battle ilokuwepo kati ya makundi mawili maanzilishi ya hip hop bongo,ni mambo ya miaka ya 90
 
Kama majeshi na mitutu/
Wazungu na vikapu/
Wazima na wafu
 
Bongo flava ya kina Kwanzanians and co haikua mainstream ( for all) kama bongo flava ya sahivi walioanzisha akina Jay na Sugu.
Ni kwasababu ulikuwa haujakubalika na jamii (mziki wa kihuni), muziki wa dansi na ile ya kongo ndiyo ilikuwa inakubalika hata redioni haikupigwa.
 
crazy gk mambo vipi? njoo upesi hali ni mbaya acha chochote unachokifanya njoo umuone mshikaji wako D ROB
mzee wa kwanza
kabla mambo hayajawa mabaya... na hapo ndipo.....
 
Nimemuona saigon kawa bonge la ustaadh kule tv imaan,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…