Ingekuwa vipi?

Tutor B

JF-Expert Member
Joined
Jun 11, 2011
Posts
9,025
Reaction score
6,598
Bro alitaka kumuoa mpenzi wangu pasipo kujua ... ingekuwa pivi kama angemuoa?

Wamama wa humu natamani avatar zao ... ingekuwa vipi kama ningewaona?
 
hahah tata wakola waitu na verse zako!!!!!,.
 
hahah tata wakola waitu na verse zako!!!!!,.
nipe jibu ... ingekuwa vipi?

Ona na hii ...
Anayenipenda simpendi .... ingekuwa vipi kama ningempenda?
 
nipe jibu ... ingekuwa vipi?

Ona na hii ...
Anayenipenda simpendi .... ingekuwa vipi kama ningempenda?
unajikaza tu, utazoea tena wale
wanaoanzaga wagumu ndo humaliziaga wagumu kumuacha mwenza,,,,,,,,.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…