Ingekuwa vipi?

Ingekuwa vipi?

Dam55

JF-Expert Member
Joined
Oct 8, 2015
Posts
5,641
Reaction score
11,958
Ingekuwa vipi kama JF member wote wangetengewa mkoa wao pekee wa kuishi.
Nani ungetaka awe jirani yako?
Yupi ungependa awe kitengo fulani ambacho unahisi ingekuwa poa.

Ingekuwa vipi kama kusingekuwepo na ukimwi duniani. Je madadapoa wangeruhusiwa kujiuza kwasababu hakuna hatari tena ya kifo.?
Hivi na kasi ya migegedano ingekuwaje, kama kwa sasa tu ni hivi.

Ingekuwa vipi kama kusingekuwa na Wivu wa mapenzi duniani?

Ingekuwa vipi ungeruhusiwa Ku duu na kila anaye kuvutia bila kipingamizi. Yaani ni kukamata na kugegeda, je ungekuwa na idadi ya wangapi hadi sasa.?

Ingekuwa vipi, ingekuwa vipi kama .....

Endeleza hapo.!
 
Siwezi kuja hicho kijiji. Jf mazuri ni machache mno ila kuna kila aina ya Uchafu unaoujua wewe.
Labda watukusanye hafu wawatupie kabomu ili kuteketeza hiki kizazi chote cha nyoka cha JF
 
Siwezi kuja hicho kijiji. Jf mazuri ni machache mno ila kuna kila aina ya Uchafu unaoujua wewe.
Labda watukusanye hafu wawatupie kabomu ili kuteketeza hiki kizazi chote cha nyoka cha JF
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji16]maisha bila unaafiki hayafiki
 
Back
Top Bottom