Ingekuwa vipi?

Wakulonga

JF-Expert Member
Joined
Oct 29, 2012
Posts
762
Reaction score
771
Ingekuwa vp kama mbuzi katoliki angeambukiza COVID-19 je waliaji wa huyu mnyama mngendelea kula Au ingekuwa inaambukizwa kwa njia ya kujamiiana je wazinifu wangeendelea kizini?
Take care COVID-19 kills
 
- Mbona nguruwe ana magonjwa chungu nzima anaambukiza ila wanamla tu. Wameshamjulia

- Ukimwi ni hatari na unaambukizwa kwa kujaamiana mkuu, umeona mijitu imeacha bwashee?
 
- Mbona nguruwe ana magonjwa chungu nzima anaambukiza ila wanamla tu. Wameshamjulia

- Ukimwi ni hatari na unaambukizwa kwa kujaamiana mkuu, umeona mijitu imeacha bwashee?
Ebwana ukimwi it takes time mpaka udedi ila hii kitu 14 days utapata mrejesho
 
Yawezekana makahaba wote wangeacha na walaji KITIMOTO Wangeacha na mdudu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…